Rafiki Mupotevu


Rafiki
July 12, 2008, 1:00 pm
Filed under: Uncategorized

Nilikuwa na rafiki yangu tuliependana naye sana. Rafiki yangu aliniacha peke yangu bila hata kitu.

Nilikasirika sana kwa sababu alinitoroka nilijaribu kumtafuta lakini sikumpata. Nilienda kwa mama na baba yake, wakaniuliza niwaambie penye ako. Nikawawambia sijampata, mama yake alilia akaniambia sasa usikuwe kama rafiki yako Hellen. Tulitafuta sana rafiki yangu, mamake akashangaa akasema mwanangu sijui nifanyaje sababu umenisumbua mimi mamako, sawa sawa tu mamake kanitazama akasema mimi sikuwa hivyo najaribu kuwa na upendo na mwanangu hataki mamake.

Babake akasema, nitachapa huyo mototo. Nita mvunja vibaya, rafiki yangu akatoroka tena, ni babake alimfanya akimbie. Mamake alimtafuta lakini hapatikani ,hata sasa bado tunamtafuta. mamake alifariki mwaka uliopita babake pia alifariki majuzi. Watoto wao walipelekwa nyumbani kwao, tunawatumia pesa ya matumizi na ya shule.

Rafiki yangu nimbaya sana, sijui kwa nini alifaya hivyo. Wenzake wanateseka, nikimpata nitafurahi sana nitashukuru kwa sababu atasadia wezake. Sijui nitasema nini sababu nitashangaa, wakati alipotea nilishikwa na uzuni mwigi sana. Mamake akawa mgonjwa sana na akakosa wakumsaidia ila mimi tu. Nilimsaidia kufanya kazi nyumbani, sasa rafiki yangu hana baba wala mama, watoto wao ni yatima hawana chakula cha kutosha wanasaidiwa na wangine kupata chakula, nasikiaga vibaya sabu wazazi wao walikufa na wanaomba omba.

Sasa.

Translation

Friend

I had a friend and we loved each other very much. My friend left me alone without anything.

I was annoyed because my friend ran away and I tried to find her but I couldn’t. I went to my friend’s parents and they asked me where my friend was. I told them that I could not find her. My friend’s mother told me not to be like my friend, Hellen. We searched a lot for my friend. Her mother said “my daughter, my daughter, I don’t know what to do since I don’t know where you are.” I said, “it’s okay.” Her mother looked at me then said, “I was not like that, I was trying to love my child. She doesn’t need her mother.”

Before Hellen ran away, her father had said that he would beat her very bad. This is why she ran away. He mother searched for her but she could not find her. Still, we are searching for her. Her mother died last year, and her father died before that. My friend’s brothers and sisters were taken back to their rural home. My family is sending them money for spending and for school fees.

My friend is very bad, I don’t know why she did that. My friends are suffering, when I find Hellen, I will be very happy because she will help them. I don’t know what to say because I have been shocked since the time she ran away. I was very sad. Hellen’s mother got very sick and she didn’t find anyone to help her except for me. I helped her do her chores around the house. Now my friend doesn’t have a mother or a father. Her siblings are orphans, they don’t have enough food and they are being helped by others to get food. I feel very bad since her parents died since her siblings keep on begging.